watumishi

picha ya pamoja

picha ya pamoja

walimu na wafanyakazi wengine

Walimu

Karibu Endarofta Secondary School

Nafasi za Masomo & Interview Vituo vya Fomu na Mitihani ya kujiunga
Matokeo ya Mitihani Angalia Matokeo
Ratiba ya Shule Kalenda ya Shule

Chagua Shule Yetu

Maktaba Yenye Vitabu Vya kutosha

Shule ina maktaba bora yenye vitabu vya kutosha kwa kila somo. Pia maktaba yenye mazingira bora na tulivu kwa wanafunzi na walimu kujisomea wakati wowote.

Maabara Za Sayansi

Shule ina maabara bora sana kwa masomo ya sayansi. Pia imejaa vifaa vya kutosha kwa masomo yote matatu ya sayansi: Physics, Biology na Chemistry.

Mazingira Bora Kwa Kujisomea

Shule inapatikana katika mazingira tulivu sana, yaliyo kimya na yanayofaa kwa watoto wa kike na wakiume kujisomea kwa Usalama Zaidi.

Imani katika Bwana

Shule inawajenga watoto katika imani ya bwana bila kubagua imani ya mtu. Pia kumwabudu Mungu wakati wote.

Maabara Ya Agriculture

Shule ina maabara bora kabisa ya kufundishia Somo la Agriculture na kuwafanya wanafunzi kuwa na uwezo mkubwa hasa wa kufanya kilimo kwa vitendo.

Mitandao ya Kijamii

Shule inapatikana katika mitandao mbali mbali ya kijamii kama Facebook kupitia Endarofta Page

Tunafanya Vizuri zaidi kwenye mambo mengi kama

Waalimu Bora wa Kiume na Wakike

Shule ina waalimu wakutosha, wenye uzoefu wa muda mrefu, pia wenye uwezo mkubwa wa kufaulisha wanafunzi kwa viwango vya juu kwenye mitihani yote.

Ufaulu Mzuri

Shule inafanya vizuri katika mitihani ya taifa kidato cha Pili na Cha nne kwa Miaka yote kwa kufaulisha wanafunzi wote kwa kupata daraja la kwanza Div 1.

Nidhamu Bora

Wanafunzi wa Endarofta wananidhamu iliyo bora wakiwa nje na ndani ya shule, kwa kuheshimu watu wote bila kujali umri wao na vyeo.

Mazingira Bora

Shule inapatikana katika mazingira safi na bora yanayo ruhusu na kusaidia watoto wa kike kujisomea kwa utulivu na amani.

Je unataka kujiunga na shule yetu iliyo bora Tanzania?

Mawasiliano