Waalimu Bora
Shule ina waalimu wakutosha, wenye uzoefu wa muda mrefu, pia wenye uwezo mkubwa wa kufaulisha wanafunzi kwa viwango vya juu kwenye mitihani yote.
Shule ina maktaba bora yenye vitabu vya kutosha kwa kila somo. Pia maktaba yenye mazingira bora na tulivu kwa wanafunzi na walimu kujisomea wakati wowote.
Shule ina maabara bora sana kwa masomo ya sayansi. Pia imejaa vifaa vya kutosha kwa masomo yote matatu ya sayansi: Physics, Biology na Chemistry.
Shule inapatikana katika mazingira tulivu sana, yaliyo kimya na yanayofaa kwa watoto wa kike kujisomea.
Shule inawajenga watoto katika imani ya bwana bila kubagua imani ya mtu. Pia kumwabudu Mungu wakati wote.
Shule ina maabara bora kabisa ya kufundishia Kompyuta ili kuwafanya wanafunzi kuijua teknolojia ili kuendana na maisha ya kisasa.
Shule inapatikana katika mitandao mbali mbali ya kijamii kama Facebook kupitia Endarofta Page
Shule ina waalimu wakutosha, wenye uzoefu wa muda mrefu, pia wenye uwezo mkubwa wa kufaulisha wanafunzi kwa viwango vya juu kwenye mitihani yote.
Shule inafanya vizuri katika mitihani ya taifa kidato cha Pili na Cha nne kwa Miaka yote kwa kufaulisha wanafunzi wote kwa kupata daraja la kwanza Div 1.
Wanafunzi wa Endarofta wananidhamu iliyo bora wakiwa nje na ndani ya shule, kwa kuheshimu watu wote bila kujali umri wao na vyeo.
Shule inapatikana katika mazingira safi na bora yanayo ruhusu na kusaidia watoto wa kike kujisomea kwa utulivu na amani.